![Yale Baba Umenifanyia](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/05/07/84ecdc84939e44339da73fceff9f7139_464_464.jpg)
Yale Baba Umenifanyia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
Yale Baba Umenifanyia - Wapendwa Muziki
...
Dear God , it's me again I have come to you with a heart of worship . Aaaah...
Baba Mimi nimekufanyia nini, ndio unipende namna hii, nimekufanyia nini ndio unipende namna hii.
Baba Mimi nimekufanyia nini ndio unipende namna hii . Oooh nimekufanyia nini ndio unipende namna hii .
Nimekuwa na wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa.....wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa ..... wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa.....wimboo na moyo wa kukuabudu babaaaa. Iyeee.
Bila ww ningeteseka dadii,umenitoa mbalii. Kama sio wewe Yaweh Mimi ningekuwa wapii.
Napiga magoti mbele zako baba yangu.
Nainua mikono Kwa ishara ya kusujudu
Yale baba unenifanyia acha nikuite shamaa
Imekuja nikupende Leo Jehovah shamaa
We ni Mungu wa mapendeleo nishakujua
Unapenda vile unataka, dadii nishakujua Sasa
Nimekuja na wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa(ee bwana )
Wimboo na moyo wa kukuabudu babaa, nimekuletea wimboo na moyo wa kukuabudu babaa , nimekuja na wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa.
Nilikuwa nimepotea wokovu ukanipaa,
nilikuwa sipendezi neema ukanipa. Ukaniokota toka jalani mimi , oooh
Nilikuwa nimepotea wokovu ukanipaa nilikuwa sipendezi neema ukanipa ,
ukaniokota toka jalani mimi aaaaah
Asante kwa wokovu, asante kwa msamaha, umeondoa maovuu, moyoni nina rahaa
Asante kwa wokovu , asante kwa msamaha, umeondoa maovuu ,moyoni nina rahaa aaaaah eeeeh a yesu.
Yale babaa umenifanyia wacha nikuite shama. Nimekuja nikupende leo Jehovah Shama. We ni Mungu wa mapendeleo, nishakujua. Unatenda vile unataka dadii nishakujua
Nimekuja na wimboo na moyo wa kukuabudu babaa, wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa... wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa ... wimboo na Moyo wa kukuabudu babaa .