![Ananipamba](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/02/08/532f3864568d4ebca9bc731260850c9e_464_464.png)
Ananipamba Lyrics
- Genre:Afropop
- Year of Release:2023
Lyrics
Ananipamba - Wapendwa Muziki
...
Anatengeneza mambo ya kwangu iyeh
Anazungukia maisha yangu yesu (Jesus surrounds my life)
Anasafisha fisha, anaosha yeeh
Tunasaidiwa na Bwana, (We are helped by God) Tunasaidiwa na Bwana,
Tunasaidiwa na Bwana x2
Ananipamba, ananipamba pamba Baba
Anazungukia maisha yangu yesu x4
Kila Corner i see Angels guarding me, my God in heaven always watching over me,
Power of the Holyghost, filled inside of me, everyday manifesting, everyday manifesting
Everyday is a brand new Blessing, his mercies are new every morning
And everything i touch, turns to gold
God of favor me napendanga vile unanifanyanga
Nakupenda weh Baba (I love you My Father)
Nakupenda weh Baba
Nakupenda weh Yahweh,yahweh X2
Verse 2
Ye pekee ananiweza ah, hawezi niacha niangamie, la hasha (he Cannot let me Perish, No way! )
Popote me naenda, kuna neema (Everywhere i go,theres Grace)
Hawezi niacha niangamie la hasha ((he Cannot let me Perish, No way! )
Wanaonisema vibaya,watabaki midomo wazi
Me natetewa na bwana,siwezi feli akiwa wakili
Always watching me in my sleeping, in my dreaming, and in my waking,
You surround me on every side, Your behind me, and before me
Chorus