NIMEPATIKANA Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
NIMEPATIKANA - Wapendwa Muziki
...
Aha!
Hallo!
Sina budi ila niulize,uko sure ama una guess,
For better for worse hivo nd'o unasema,
Will you choose me over and over again,
Aimamu,mimi nishakuelewa,
tulia kwangu am gonna take it from here,
Nitakosa ndio upate ma' baby,nitajinyima unenepe my baby,
Ukinikosea mi' nd'o nitasema,"Pole ma' baby,"
So now will you marry me...baby
Refrain
Aha!Leo nimepatikana,
Eeh!Nimepatikana,
Nimetoka soko leo, Nimepatikana,
Mmmh!Nimepatikana,
We' mwanamke wewe(nimekupenda wewe)
We' mwanamke wewe(nimekuzimia wewe)
We' mwanaume wewe(nimekupenda wewe)
We' mwanaume wewe (nimekuzimia wewe)
Sitojibizana na wewe mpenzi wangu,nitajitolea kuheshimu,×4
Refrain & intro
Tunafanya vile Mungu anataka,aah
Hivi ndivo Mungu anataka,
nikuvishe pete nawe univishe pete,
Tuhalalishe ndoa yetu mbele ya watu,
Beats