Shukurani (Cover) Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2022
Lyrics
Shukurani (Cover) - Wapendwa Muziki
...
Yesu njoo (*2)
Nayemtaka ni wewe
Staki lolote noo nakutaka wee
Yesu njooo(*2)
Nayemtaka ni wewe
Staki lolote noo nakutaka wee
You’re wonderfuuul
Mtakatifuuuuuu (*2)eeeeh aaaaaa
Mi nakushukuru Mungu sababu ya mengi
hata uhai huu sikustahili,,mi nakushukuru Mungu tena sababu ya vingi hata nikiwa na sahan unajua namanisha sio kwamba eti nilitenda wema kwako ujalinganisha na matendo yako makuu mimi Mungu ningekulipa nini.
Ulikonitoaa siri ya moyo wangu matopeni topeni kaniketisha na wakuu juuuu,umenipa heshima ukanifuta machozi asante Babaaa eeeiii ooouuuuuuuh oooh Lord
Shukurani zanguu
hata shukuranii zangu(ni kwako) eei shukuraniii zangu(ni kwako)*2 (wewe ni mwema Mungu asante Baba)
Sifa zote zikwendee (Bwanaa)*2 we Bwanaa
Sifa zote zikuendee (Bwanaa)*2 wewe ni mwema
(*2)
Wewe ni mwemaaaaaaah(*5)
Ni mbali nimetokaaa tena niajabu kua hai manaa ningashakufaaga aaah
Ni mengi nineonaa tena ya kuvunja moyo labda ningeshamwacha Munguu
Na kama ni misongo ya mawazo,magonjwa maana nimepitiaa ninazoeaaa aaaah maumivu ya kudharauliwa,umasikini kila sikuu ninajipa moyooo ooh ipo siku yangu tuuu ipo sikuu (ipo *4) nami nitafanikiwa aah nitainuliwa Bwana atanikumbuka mimiii oooh.....