Danga usitume meseji Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Danga usitume meseji - D voice
...
oya wew oh oya weww
oya wew
Danga usitume message leo
mume wangu yupo
leo kutwa nzima yupo na mim
ataki ata kuniacha
Chimami usitume message leo
mke wangu yupo
leo siku nzima yupo na mim
ataki ata kuniacha
Mchumba usitume message leo
ma mtu yupo
leo kutwa nzima yupo na mim
ataki ata kuniacha!
Leo yupo off aendi kazini
Kwaio anataka ashinde na mim
Simu mda wote iki mkonon
mara acheze game mara cartoon
bas usitume messsage baba utaalibu
ugali wangu
Na univumilie kwa leo ntakuchek danga langu
nitakuchek mwenyew *2
niki pata nafas nielewe *2
Najua ulipanga tuonanae
lakin ikashindikanaaa...!!!!!
Mambo magumu ukuu
leo mwenyew bado amebanaa
Penyew kaenda bafuni 2( kaenda bafuni)
yaani anarud soon 2
Mi leo niko roho juu
yani full vi bweka( full vi bweka)
mara yupo insta (mara tik tok)
nawe una nitisha (nta kublock)
unataka utume picha( tulizo jisnap)
unajizima dataa
kwanza malia ndimu malia ndimu
malia ndimu malia ndimu
saga saga saga saga saga malia ndimu
mina gubika migubua*2