Lolo Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2023
Lyrics
Lolo - D Voice
...
Kwahiyo ndo unazani labda ningeliaa
Ulivyoniacha au labda ningeshindwa kula
Au labda unazani ningekunywa sumu
Ulivyoniacha au labda ningeshindwa kulala
Kwanza lihusiano lenyewe lilipooza
Haunajipya style mpya umedoda
Maajabu hauna ndani pumzi kidoda
Nijinyonge kisa we unawazimu umerongwa
Aiih ndo mala husiulize why uliachwa
Haujui kulamba lolo haujui kulamba lolo
Husiulize kwanini uliachwa
Haujui kulamba lolo haujui kulamba lolo
Kwanza alafu ata haiumi
Mbona hainikeleketi
Mbona ata haichomi
Mbona hainipwitipwiti
Halafu ata haiumii
Mbona hainikeleketi
Mbona ata haichomi
Mbona hainipwiti pwiti
Haaa heeee
Uzuri wako wa fighter unakudanganya
Umeniacha juzi jana nimepata bwana
Tena mtu mwenye hela alafu tunaendana
Tushakuka viapo mi nae hatuwezi achana Ona kwanza kila siku unataka mchezo kwani huchoki kenge wewe
Na ukinyimwa tu unanuna mpka upewe
Kibonge mayai upigi msamba mpaka ulewe
Eti haunipendi hainiusu utajua mwenyewe
husiulize why uliachwa
Haujui kulamba lolo haujui kulamba lolo
Husiulize kwanini uliachwa
Haujui kulamba lolo haujui kulamba lolo
Kwanza halafu ata haiumi
Mbona hainikeleketi
Mbona ata haichomi
Mbona hainipwitipwiti
Halafu ata haiumii
Mbona hainikeleketi
Mbona ata haichomi
Mbona hainipwiti pwiti
Haaa heeee
Wekaa wanangu tuwarudisha shuleni
Masela shuleni tuwarudishe shuleni
Jm twende mkanda mkende mkindi mkondo (utakufa vibaya wewe)
Mama kwanza mpamba mpembe mpimbi (uongoo)