Kuachana Shingapi (Remix) ft. Platform, Lody Music & Barnaba Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Kuachana Shingapi (Remix) ft. Platform, Lody Music & Barnaba - D voice
...
aanh
mo power
ndege kageuka bundi
JM
oya wew on the truck
mapenz mapenzi yalimtesa babu
lakini bado aliweza survive
labda nikupe habari sasa nimekua
mambo ya kutesana nayajua
hata utoke na danga(ujanikomoa)
hata utoke na baba yangu(ujanikomoa)
hata utoke na darngote(ujanikomoa)
hata ugeuke uwe chawa wake(ujanikomoa)
yanini kupeana ngebe eti niende kuroga
eti niforce unipende hatujazaliwa pamoja
mapenzi miba senyenge nkupashe shoga
hauwezi kupanda embe lije kuota boga
kwani kuachana shi ngap??
kuachana bei gani??
kwani kuachana shi ngap??
kuachana bei gani
kwani kuachana shi ngap wew??
kuachwa bei gan
kwn kuachan shi ngp wew
mapenzi sio mchezo yanaumiz zaid
inabidi uwe na pesa ili uya faidi
ndo maan sishangai ex wangu alinikataa