![Masela ft. B Gway](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/28/9b8062c79c20433db3bc00f89b825597_464_464.jpg)
Masela ft. B Gway Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2022
Lyrics
Masela ft. B Gway - D voice
...
oyaaa maselaa wanangu tutafute helaaa
oyaaa maselaa wanangu tutafute helaaa
muhuni kamimi hukuti nalilia mapenzi hata mara moja.
Ila nauwezo wa kukuua kisa Elfu moja
Mi na pesa tayari tushaunga ushoga
Jichanganye uone tavyokuvuruga Aah
Oya Tutafute
Aya twende tafta hela
Mademu wakuite baby
Tafta hela vijana aombwi Tv
Tafta hela Geto ununue Tv
Tafte helaaa
Tafta hela uvivu punguza
ujichange change uhame buza
Eti baby nataka kigari sitaki bodaboda
(weee unalo?)
Nataka wenye misambwanda staki vimbau mbau
(wee unalo?)