Simuachi Lyrics
- Genre:Alternative
- Year of Release:2023
Lyrics
Simuachi - D Voice
...
eyooo kenny
kuhusu malaya kwangu nishazoea
kuhusu mbaya sijali I don't care
ananipa vyote ndoma namng'ang'ania
nampenda sisikii kwake nshajifia
ukinletea taarifaa za mpenzi wangu nletee na mpenzi mpyaa sina mda wa kuwa single sababu ya umbea waakooo
(instrument)
ukinletea taarifa za mpenzii wangu nletee
na mpenz mpya sina mda wa kuwa single sababu ya umbea wako
me mwenzako kwanzaa napenda mapenzi cha pili kuishi single siiwezii
aaàaaaayaaaàaaa
,. sio kwamba siwezii kumuachaa tatizoo namuacha anaendaa waapii?
sio kwamba hakuna wanaonitaakaa aaah
tatizoo kwenye moyo nshampa nafasii
me siweziiii( me siweezi)siwezii
penzi la kugombaniaa
mwenzako nina mmjoa mpeenzi
ndo ambae akili anaisumbuuaa
aaayaaaa
ukinletea taarifa za mpenzi wangu nletee na mpenz mpya Sina mda wa kuwa single sababu ya umbea wakoo
( instrument)
ukinletea taarifaa za mpenz wanguu nletee na mpenzii Sina mda wa kuwa single sababu umbeea wakoo
aaaaaayaaaaaa
( instrument)
aah sio kwamba kwa ubaya ila penzi limeninogeeaa
na wala sikukatazii me kuniletea umbeaa
ila ukija uje na umbea mpyaa
ukileta wa zamani nitakusuta wee-wee
aaah
kuhusu malaya kwangu nishazoea
kuhusu mbaya sijar I don't care
ananipa vyoote ndoma namng'ang'ania
nampenda sisikii kwake nishaajifia
ukinletea taarifaa za mpenz wang nletee na mpenz mpya Sina mda wa kuwa single sababu ya umbea wakoo (×2)
me mwenzakoo kwanzaa napenda mapenzi cha pili kuishii single siwezii
aaaaayaaaa
.........................
....... lyrics.....
........by.........
.......me......
.......Julie......
.