Pipii Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Pipii - Marlaw
...
Aanha
Eeiyi eeyiii
Eyii eyiii
Nilitaka niwahi kufila njia ina jum sasa wapi nitapita
Nimekaaa karibia saa sita sasa kukaa nimechokaa oohw baby
Sijamuona Long Time Now.....
Ndo Narudi Toka Mwezi Jana..
Nilishakuambiaa Mama Nimefikaaa Tanguh Mchana
Anajuaa Nimeshafika Ameshapika Amekasirika
Alipika Tangu Mchana Ila Sasa Lunch Imegeuka Dinner
Nimechokaa Kupiga Honii... Now
Piiiii Piiiii
Hatuelewani
Nimechoka Kupiga Honii... Now
Piiii Piiii
Hatuelewani
Piiiiiiii Piiiii
Move On The Way
Nimechoka Kupoteza Time
Nina Siku Nyingi Kwenda Home
Im Miss My Baby
Piii Piii
Hallo Baby Natamani Niwe Nyumbani Nimekwama Hapa Njiani Kuna Jum Baby
Aanha
Kuna Jum Baby....
Aanha
Halooo
Aanha
Hallooo