Amini Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2017
Lyrics
Amini - Marlaw
...
ooooh rita rita ×4 oooh no no
saut inasikika nitege umakin
nijue nan inamwita
iiiiiiiiiiiih.....
choz lanitoka nitazamapo angan
naona sura ya ritaaaa
iiiiiiiiiih....
waona mikono yang mitupu
imezoea kukushika weee
na ata nyumban kwangu haupo
umepotea sikuoni kamwee
oooooooh rita×2 daily nakuwaza weee
" " mim ntanyamazaje?
Rita we unajua jinsi gan me na ww
tulivyopeendaaana jitoa sadaka kimapenz ili mradi tusije tenganaaaa
ila we unajua ni yako familiaaa
damu yangu ya bongo si ya Asia
ndo kigezo cha wao kunitosa
mara 2 hiv sasa umenitosa
kumbuka ile mimba ndo ilokufanya
ukaja kwanguuu ulifukuzwa kwenuu
ulijifungua poa mtot na wote mkaishi
kwanguuu
ikawachukiza kwenu na taarifa ikaja
kwako ww rita uende Arusha nduguzo
wanakuitaa ukanikiss kiss mm na mtot
nikakukiiiiiiiiiiiss eeeeeeeeeeeh
saut inasikika (aaaaaha) nitege umakin
( aaaaanha) nijue nan inamwita iiiiih
choz lanitoka (aaaanhaaa)
nitazamapo angani (aaaaanha)
naona sura ya rita (sura ya rita)
waona mikono yang mitupu
imezoea kukushika weee
na ata nyumban kwangu haupo
umepotea sikuoni kamwee
oooooooh rita×2 daily nakuwaza wee
" " mm ntanyamazaje?
Ni tangu Arusha hadi Iringa simu inaita
unapokea unaliaaa kuludi Iringa uishi
nami ndugu zako wamekuzuiaa
nkasema lait ungejua aaaaaaaaah nicngekubali uondoke pekeee mwanao analiaaaaaaaaaaah
nkaona mumeo ni bora ninywe pombe
ila kwa penzi ukaforce kuludi ulpga cm
mume wng nakujaaa na maneno ya konda kwenye bus ulifka akakupa seat ukakaa ulipokaa ukakaaaa
kilacku me nmelewa npo me na mwanangu kumpokea mke wng