![Ewe Mama Maria](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/34/A5/rBEezl1mUc2AMQOlAABjWqYEN1w833.jpg)
Ewe Mama Maria Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Ewe Mama Maria - Tumshangilie Bwana
...
Ewe mama Maria,mama yetu mwema,mama wa Munguuu,
Sisi wanao leo,tunakusalimu,salam mamaaa.
Ee mama yetu mwemaa,
Mama yetu mariaa,
Sisi tunakupendaaa,
Tunakupenda sanaa
Ewe mama Maria,mama yetu mwema,mama wa Munguuu,
Sisi wanao leo,tunakusalimu,salam mamaaa.
Ee mama yetu mpenziii,
Sikia ombi letuuu,
Katika shida zetuuu,
Kwa mwanao tuombeee.
Ewe mama Maria,mama yetu mwema,mama wa Munguuu,
Sisi wanao leo,tunakusalimu,salam mamaaa.
Ee mama mbarikiwaaa,
Mama msafi wa moyooo,
Mama mwenye hurumaaa,
Uwe nasi daimaaa.
Ewe mama Maria,mama yetu mwema,mama wa Munguuu,
Sisi wanao leo,tunakusalimu,salam mamaaa.
Mama wa neema nyingiii,
Mama yetu Mariaaa,
Tusaidie mamaaa,
Tufike juu mbinguniii.

.........