![Utukufu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/2E/AC/rBEehl1mQXmAEjDdAABjMrUw0r8851.jpg)
Utukufu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Utukufu - Tumshangilie Bwana
...
uutukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni Na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema tunakusifu tunakuheshimu tunakuabudu tunakutukuza twakushuru kwa ajiri ya utukufu wako mkuu
"utukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni Na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
ewe mungu ndiwe mfalme wa mbiguni baba mwenyezi ewe bwana yesu christuwa pekee mwana was baba
"utukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni Na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
ewe yesu mwana kondoo wa mungu mwana wa baba ewe mwenye kuziondoa dhambi zetu tuhurumie
"utukufu juu Kwa mungu utukufu juu mbiguni na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
ewe mwenye kuziondoa za dunia dhambi za watu ewe mwenye rehema nyingi upokee mombi yetu
"utukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
uketie kuume kwake mungu baba tuhurumie kwa kuwa ndiwe uliye pekee yako mtakatifu
"utukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
pekee yako Ni wewe bwana pekee yako bwana mkuu pekee yako Ni mkombozi pekee yako yesu christu
"utukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"
naye roho mtakatifu katika utukufu wake mungu moja anaye ishi Na kutawala milele yote
"utukufu juu kwa mungu utukufu juu mbiguni na Amani kwote duniani kwa wenye mapenzi mema"