![Anayekula](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/9B/85/rBEeMV1mPU6AZ9a5AABjHcUdFEw151.jpg)
Anayekula Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Anayekula - Tumshangilie Bwana
...
(1)
Anayekula mwili wako,
Na anywaye damu yakoo,
Anaishi ndani yako,
Yeye hatakufa mile.
CHORUS
Yes wangu nakuomba,
Nishibishe na mwiliyo,
Nayo damu yako ninywe,
Japo sistahili mimi.
(2)
Ndani yangu mwokozi yumo,
Kwa mwili na damu yake,
Ni rafiki yangu kweli,
Nami sitamuacha kamwe.
(3)
Alikucha kutuokoa,
Tulip kuwa dhambini,
Kwa kifo chake msalabani,
Naye katupa uzima.
(4)
Yesu wangu unibariki,
Nifundishe njia zako,
Nipee moyo wa shukrani,
Nitembee nawe leo.