![Kiapo Cha Ubatizo Wangu](https://source.boomplaymusic.com/group2/M0B/45/1A/rBEeM11mO3qASQ5_AABemXIx-wM851.jpg)
Kiapo Cha Ubatizo Wangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Kiapo Cha Ubatizo Wangu - Tumshangilie Bwana
...
1 Kiapo cha ubatizo wangu kutoa si mimi ni wao ni mzima nayo akili yangu ninaapa mwenyewe leo Ninaapa ninaapa ninaapa ninaapa mwenyewe leo ninaapa mwenyewe 2 Naapa Yesu ndiye mwokozi sadaka mlipa letu deni mwenyewe mwana wa mwenyezi Naapa ni yangu imani 3 Naapa kwa Mungu na kanisa ni mtoto tangu ubatizo ya jana nayatubu makosa naapa ni mtu mpya si mchezo