![Baba Yetu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/34/A5/rBEezl1mUc2AMQOlAABjWqYEN1w833.jpg)
Baba Yetu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Baba Yetu - Tumshangilie Bwana
...
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako liitukuzwe
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike ×2
Duniani kama mbinguni...Utakalo lifanyike
Utupe leo mkate wetu... Utakalo lifanyike
Mkate wetu wa kila siku... Utakalo lifanyike
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako liitukuzwe
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike
Tusame makosa yetu...Utakalo lifanyike
Kama vile twawasamehe... Utakalo lifanyike
Walio tukosea sisi... Utakalo lifanyike
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako liitukuzwe
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike
'Situtie majaribuni... Utakalo lifanyike
Walakini utuopoe... Utakalo lifanyike
Maovuni utuopoe... Utakalo lifanyike
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako liitukuzwe
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike
Kwa kuwa ufalme ni wako... Utakalo lifanyike
Na nguvu na utukufu... Utakalo lifanyike
Utukufu hata milele... Utakalo lifanyike
Baba yetu uliye mbinguni
Jina lako liitukuzwe
Ufalme wako ufike
Utakalo lifanyike ×2