![Pokea Moyo Wangu](https://source.boomplaymusic.com/group1/M0B/2E/AC/rBEehl1mRMKAHSgvAABjV2lOHoU574.jpg)
Pokea Moyo Wangu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Pokea Moyo Wangu - Tumshangilie Bwana
...
pokea moyo wangu eeh Mungu wangu niweze kukupenda kwa Pendo lako
unipe moyo wako ,ewe Yesu mkombozi wangu shinda kwangu nami daima kwako ,unipe moyo wako,ewe Yesu mkombozi wangu shinda kwangu nami daima kwako
Onjeni mwone kwamba Bwana yu mwema na heri yule mtu anayemtumaini Yesu Kristi
pokea moyo wangu weeh Mungu wangu niweze kukupenda kwa Pendo lako
unipee moyo wako,ewe Yesu mkombozi wangu shinda kwangu nami daima kwako
unipe moyo wako ,ewe Yesu mkombozi wangu shinda kwangu nami daima kwako
Katika nguvu za giza katutoa,na kutukaribisha katika ufalme Wa Pendo lake
pokea moyo wangu eeeh Mungu wangu niweze kukupenda kwa Pendo lako
unipee moyo wako ewe Yesu mkombozi wangu shinda nami daima kwako
unipe moyo wako,ewe Yesu mkombozi wangu shinda kwangu nami daima kwako