
Ok Lyrics
- Genre:Drill
- Year of Release:2021
Lyrics
Ok - Gigy Money
...
..........
Yooo... it's gigy money
you know what poul maker?
it has a long time.. has along long time
let's do this
Paul maker on the beat..
queen of the king na madem wa mjin hapa town yeah
habari ya mjini ni gigy gigy money ..money
naona hawapend kuniona napendwa mtaani yeah ehh
now i wanna do ma ma things
mungu ananipenda namuomba ndomana nang'aa yeah
kote me trend insta Yan ndo balaa
nang'aa kama simbasimba baba lao
nakimbiza makinda kinda watoto wa dar
wanaona natamba wanataka namba
matunzo napangwa masnich mapanga
wanajitunisha wabey level za masaki obey hey hey hey hakuna Chochote wanasay ...
okay oh right Niko so sex so nice
oh yes nafurah naenjoy Sana ma life x2
Okay all them ladies let's go dance
shake your body shake shake x2
Mimi ni lighter ka ganja nawasha
nkivuta navuta kabom male basi ukiwa umepata
Mimi ni rasta sijawahi kudata ukinipenda nakupenda pia ukiniacha nakuacha
Sina muda wa kuhate me ndo topic ya debate nko real siko fake usiulize nani date
sina m
aisha ya kubate muda wote me naflex fly high kama jetri daily kwenye magazeti yeah
speed mia walidhani nawatania
nmerudi kivingne wanakwaza nawakazia
nishaweka Nia kama tu mama samia
jina ni kubwa wananibania sichoki najipambania
Okay ohh right Niko so sex so nice ooh yes nafurah naenjoy Sana ma life x4
Okay ..
All them ladies let's go dance shake your body twerk twerk Okay x2
..........
Writen by
witness kasanje