Pressure ft. Whozu Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Pressure ft. Whozu - Gigy Money
...
Kama nawauzi acha niwauzi bora niongee ,Dawa iwachome,iwaingie iwakolee,ikiwa univishi na unilishi usniongelee,Mambo yakipuuzi ninapesa zangu usizichezee ...... siofii chochote agiza kunywa babe tutoke they call me bosee sio kwa leo tuh Bali siku zotee,niambie lolote pesa ni yangu usiogope yangu ni ya kwangu tuh wanongone waropokee ...... watoto wanajua me balaaa,wanataka jua napokaa, wananiita money wanashangaa,wakitaka ruka me napaaa .....stress macho kwenye pesa sitaki tena mambo ya stress yaan usije ukanikopa ukishindwa Kulipa ni case leo utanibeba maana mm sio mwepesi mm sio level zako nalipa kwa card na cash shepu zenu uturuki haziwezi nifanyaa nikechiii,mm sio level zako nalipa kwa card na cash .....................................ukitaka kuwasha moto washeni mm ntachochea namlivyo kuja mjini ni mm niliwapokea nshachoka kuwapa kiki ivi bado mnaniongelea kama nilimlea baba ake mtoto sishindwi kumlea kudanga nawaachia watoto ,mm mwenywe saivi namtoto,nasijibu dm za watoto ,na sifanyi show kwa mkopo mwendo n uleule................