
Chombeza ft. Lava Lava Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Chombeza ft. Lava Lava - Gigy Money
...
Mhhh gigy money
Twafanana mora kabaliki yako tabia tunaendana kama ni kilevi kwangu ni bia
nikoleze ninogeshe mi ni pagawe
Nibebe moto moto mi nilowe kitandani kwachukwachu tu mi nawe (ooooo yaaaa oooyaaa)
Mi ni mvumilivu baby nakula ninachojionea nikipendaga sichangui nakula hata kibamia
Chombezaaa chombezaa
umenipa penz chombeza
Chombeza chombeza
Umenipa penz chombeza
Oooooh yatasemwa meng nawashakunaku usijali wakiongea
Hawapendii pege za udaku ndio zao potezea juziii malafiki zako nilikuta wanachamba chamba ati unanuka jasho nawezaje kuku lamba lamba
Tenah wakazusha vioja we ndio bigwa wa kudanga yaani namba moja wajulikana viwanja eti wanasema kicheche hunifai nimezoa mpechee
iiih sasa nipe gwadu gwadu(chombeza)
grimbi kwaju kwaju ( chombeza)
Sasambua sambu sambu ( chombeza)
Uno gwaju gwaju nichombezeee
Chombezaa chombeza
Umenipa penz chombeza
Chombeza chombeza
Umenipa penz chombeza
nipee jojojoo (chombezaa
Wataka kuchojoo (chombezaa
Ayaa prokotooo (chombeza
Nisimamishe jogoo
Iih Ooh bas nichombozee (chombeza
Nisimame dededee (chombeza
Ongeza madegeshee ( chombeza
Nichomeke jegejeee ( nichombezee)