![Dharau](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/12/20/8733c7bbf0714b89951ea165bb3222f2_464_464.jpg)
Dharau Lyrics
- Genre:Amapiano
- Year of Release:2022
Lyrics
Dharau - Gigy Money
...
Gigy money
Achana nami we ni koroboi (moyo wangu)
Yani hilo ni trailer movie hauning'oi (moyo wangu)
Waulize masela huu mziki hawatoboi (moyo wangu)
Ningekua mzoga pia haunizoi (moyo wangu)
Alafu sipendi dharau (aya yaya)
We ni pimbi na tena nyang'au (aya yaya)
Alafu sipendi dharau (aya yaya)
Yani pimbi na tena nyang'au pumbavu (moyo wangu)
Hauna hela hauna dooh
Hauna danga hauna show
Hauna baba hauna bwana we hauna go
Hauna vumba hauna money
Hauna kitu yani patupu
Hauna money money kama mimi
Yani gigy gigy money
Ukijifanya unagoma kutoka mbele
Huu mziki mbona utausoma kiherehere
Ukijifanya unagoma kutoka mbele
Huu mziki mbona utausoma kiherehere
Wakishua alafu mbona unaniombaga vocha mh
Mwenzako pesa sijawah kuokota
Eti njoo gheto baby kumbe we unaniita kota
Aah mwenzako haya mambo sijawah kusota
Alafu sipendi dharau (aya yaya)
We ni pimbi na tena nyang'au (aya yaya)
Alafu sipendi dharau (aya yaya)
Yani pimbi na tena nyang'au pumbavu (moyo wangu)
Hauna hela hauna dooh
Hauna danga hauna show
Hauna baba hauna bwana we hauna go
Hauna vumba hauna money
Hauna kitu yani patupu
Hauna money money kama mimi
Yani gigy gigy money
Ukijifanya unagoma kutoka mbele
Huu mziki mbona utausoma kiherehere
Ukijifanya unagoma kutoka mbele
Huu mziki mbona utausoma kiherehere