
Ninajipa Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Yesu, Yesu
Umeniita kwa Jina langu
Mapenzi yako
Yanizunguka toka pande zote
Kwa njia zako
N'tatembea siku zangu zote
Nikupe nini
Kukuonyesha mimi wako wewe
Nifanyeje
Nisemeje
Kwako mimi ninajipa
Niwe Wako milele
Sitosheki kamwe Na dunia
Naangaza macho juu
Yesu, Yesu
Umeniita kwa Jina langu
Mapenzi yako
Yanizunguka toka pande zote
Kwa njia zako
N'tatembea siku zangu zote
Nikupe nini
Kukuonyesha mimi wako wewe
Nifanyeje
Nisemeje
Kwako mimi ninajipa
Niwe Wako milele
Sitosheki kamwe Na dunia
Naangaza macho juu
Moyo wangu ni wako
Ni wako
Ni wako
Ni wako
Ndoto zangu ni zako
Ni zako
Maisha yangu ni yako
Ni yako
Nafsi yangu ni yako
Ni yako
Nyimbo zangu Baba
Ni zako
Kwako mimi ninajipa
Niwe Wako milele
Sitosheki kamwe Na dunia
Naangaza macho juu