Angaza Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mwangaza Angaza
Na unite marina juu ya Yesu
Ufunue Kuhusu
Ufalme wake wa Daima
Kwa upole unifuunze
Nimjue, Roho
Nifunue macho nine
Nione, Eeh!
Nataka kukujua
Niwe karibu nawe
Nataka kukujua
Niwe karibu nawe, Yesu!
Naomba Mungu Roho wa Hekima na Ufunuo
Nipate nuru ya funua macho yangu
Nikaribishe niwe mbele zako kwa ushirika
Neno lako liwe dhahiri kwangu
Roho shuka!
Nifunze kwa Hekima na Kuelewa njia za Bwana
Nisitafute Majibu kwingine!
Suluhisho ni kwako pekee
Nataka kukujua
Niwe karibu nawe
Nataka kukujua
Niwe karibu nawe, Yesu!
Fumbua macho uone vitu vilivyo mbele yako
Moyo wangu uinuke, nizitamani siri zake.