Kipenzi Cha Roho Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Baba
Kipenzi cha roho yangu
Bwana
Ni Wee natumikia
Baba
Kipenzi cha roho yangu
Nguzo ya maisha yangu
Ni Wewe, Milele
Ni Nani kama wewe
Mwenye nguvu kama wewe
Mwenye uwezo kama wewe
Hakuna, hakuna
Ni Nani kama Wewe
Mwenye upendo kama Wewe
Nani Kama Wewe
Hakuna, hakuna
Baba
Wee ni mwema siku zote
Ndiposa
Ulimtuma Mwana Wako
Yesu
Ni Nani atosheleza
Bila Wewe sina uweza .....
Nimekubali
Kwako nimejikabidhi
Sitaki kuenda mbali
Bila Wewe... oh
Mungu Wangu
Ninajitoa dhabihu
Iwe sadaka tamu
Mbele Zako... eh
Ni Nani kama wewe
Mwenye nguvu kama wewe
Mwenye uwezo kama wewe
Hakuna, hakuna
Ni Nani kama Wewe
Mwenye upendo kama Wewe
Nani Kama Wewe
Hakuna, hakuna