![Msaada](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/10/28/dda49a1b8dae4c34a6e0db81b0487fbd_464_464.jpg)
Msaada Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Mwenyezi halali wala hasinzii
Yeye yu nawe kwa kuwa ni mchungaji
Jua halitakupata, yeye ndiye mlinda
Yeye atakuweka, 'Kingia Na kutoka
Natazama milimani
Msaada wangu watoka wapi
ni wapi?
Ni Kwako
Ni Kwako
'Lipokuwa Na shida, Mimi nilikuita
'Kasikia wito, Baba ulinijibu
Hata kama sifai, mbele zako Rabai
Daima natumai, najua 'tanionyesha Imani
Imani
Natazama milimani
Msaada wangu watoka wapi
ni wapi?
Ni Kwako
Ni Kwako
Kimbilio langu
Mtetezi wangu
Ni wee
Sina Shaka Mimi
Niko ndani yako
Wee
Nguvu zako Yesu
Zanipigania
Eh
Sina Shaka Mimi
Niko ndani yako
Wee
Natazama milimani
Msaada wangu watoka wapi
ni wapi?
Ni Kwako
Ni Kwako