![Nitakucheki](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/09/09/c4fe7b16fd3f4245990170e92a62c29c.jpg)
Nitakucheki Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Nitakucheki - Rapcha
...
Kama umenikosha hivi siwezagi kuzama simple Usione umenishika akili usije ukajidanganya hivyo
Bridge
Aaaaaahhh (Babe wee tulizana tu.....) Aaaaaah ( ila umenichangaya mno )
Aaaaaah ( Basi we tulizana tu ) Aaaaaah (si tunaeza Bonga baadae )
Ntakucheki....(Ntakupigia) ama utanicheki Will you check on me!!
Ntakucheki... (Ntakupigia) ama utanicheck Willy you check on me!!
Coz I know good girls love bad boys I know good girls love bad boys Najua good girls love bad boys
I know good girls love bad boys
Na huo uzuri ulionao afu naskia hii dunia tunapita
Sasa unabana ya nini
Secretary mzuri ukicheki Muda saa Sita usishangae kumuona boss kazini
najua kukung’oa sio easy! No!
Ila ukinitema itanikata ka Kahaba akiwa period Kuvimba, kunata sio Password
Hata uniangalie vibaya bado ntakusemesha tu
Basi navyokucheki una mute
Nahisi ka umenipenda pia ka moyo puh puh
Yani hauna break mbio tu
Sio siri umenichanganya kama milango ya push en pull
Aaaaaahhh (Babe wee tulizana tu.....) Aaaaaah ( ila umenichangaya mno )
Aaaaaah ( Basi we tulizana tu ) Aaaaaah (si tunaeza Bonga baadae )
Ntakucheki....(Ntakupigia) ama utanicheki Will you check on me!!
Ntakucheki... (Ntakupigia) ama utanicheck Willy you check on me!!
Coz I know good girls love bad boys I know good girls love bad boys Najua good girls love bad boys
I know good girls love bad boys
My love ooh my love
I go mad for your love babygirl