Lissa 2 Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Lissa 2 - Rapcha
...
Eugen sogea karibu kidogo
Kabla sijakata pumzi ya mwisho tuongee japo kidogo
Enjoy kila siku iendayo kwa Mungu
Kwenye maisha ya mwanadamu siku za furaha huwa ni ndogo
sijapanga kumkufuru muumba
Ila kwa leo tu ningemuomba arudishe tu masaa nyuma Haya mateso nnayopata kwenye hiki kitanda
damu yangu itamlilia Lissa haitokaa kimya
mwambie asichelewe nitamsubiri paradiso
Kama nitapona Basi sitomsahau mpaka kifo
Kumbukumbu zitamfata kila unyayo amekatiza ndoto yangu kubwa nlionayo
Najua Kabla hawajatangaza misa
Millard Ayo, Sam Misago, Simulizi watauliza Kisa We waambie mi ilikuwa nije niwe namba Moja Ila mtu mmoja tu ndoto yangu ameikatisha
Eugen Najua mama yangu atalia
Atanimiss kila siku na atakua anaumia Alitamani niwe padri nkaona mziki unanihitaji usiache kumsalimu home
Mpe na pesa ya mahitaji
mwambie mama sikuacha sala
Ugumu wa pesa ndo umefanya nshindwe kuja home kila mara pesa inatesa vibaya
na ukiiweka mbele kabla ya Mungu ndio mwanzo wa ubaya
Hii habari itamuumiza Majani
Plan zetu zote kubwa zimeishia njiani
lile Gari aliloniagizia ampe mama
priscus atamfunza kudrive ataenda Nalo kanisani
Mwambie father atalipwa na mola
Arudishe moyo nyuma amsamehe paula
Mwambie alinitimizia ndoto kunisign bongo records wengi walinikataa ye akaona nyota inayong'ara
Mziki umeniintroduce kwenye maisha ambayo ngumu Sana kumpata mpenzi aliesahihi
Katika kuendelea kumtafuta ndo nkajikuta
naongeza list wanachuo mpaka wasanii
kwangu alikosa kipi
akaamua aache siti kubwa nliyompa kwenye moyo akadandie lift
nlitulia ingawa wanawake wanaamini kuwa mwanaume hata akikupenda vipi lazma atakucheat
ntakua mgeni wa nani
mara ngapi jumapili nilitii wito wako nkaacha kwenda kanisani Leo nakufa kitandani
vilivyonifanya mpaka nikawa mbali na Mungu wangu sivioni
kupeana mapresha tu
Kwenye mapenzi watu hawaumizi expectations do Wengine walitamba haikupita hata mwezi tu sasaivi wako busy Wanafuta tattoo
kama ikitokea nkapona sitofanya revenge
awe na amani maana amechagua maisha ya kutrend Wala msimchukie maana kila mtu ana mabaya yake tunaact tuko perfect tunapretend
Unahisi,Ngoma zitaendelea kupigwa radio? Nlitamani nipate tuzo Zaidi ya pesa ya nguo Mama angu Jide ataumizwa Sana na hii habari
mwambie asante kwa kunishika mkono hii safari
Utaniagia mashabiki
waliozimia Ngoma zangu ndani na nje ya nchi inawezekana mziki bila kiki
Ila kiki ni kama madawa ukiyatumia hauachi
Wanangu nawatakia maisha marefu
Ka tutaonana baadae tutaongea kwa kirefu Wakumbushe bysa na chatta watafute tu cash
coz you stop living when you stop believing in yours