Vunga Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2020
Lyrics
Vunga - Rapcha
...
Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukill marangona
Fanya kama hujaniona
Ka unapigo za kile basi
Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukill marangona
Fanya kama hujaniona
Ka unapigo za kile basi
Huzini fana pia
Me i keep 99 plus 1 mia
Leo nasafisha njia, save me
No one wanna come here
Earth kila mchongo wanacome here utaaminia
Naanza na mabishoo wa mjini
Kupendeza na kupiga uno ndo mnachojua ninyi
Simu na magari mnahongwa ila mnavyovimba sijui mnaringia nini?
Ex wangu alinitema nilipofika chuo tu
Baadhi ya masela wakatukacha walipofika chuo tu
Sasa nyie wanachuo mkiacha hio mihogo
Mnayoshindia kila siku, hivi mnaringia nini? ( Shenzi taipu)
Ila baadhi ya makonda ni wabishi
Na kuna walinzi wanaowazidi maboss kwa ubishi
Unanunua kitu kwa hela yako
Ila muuzaji anavyokuvimbia sijui anaringia nini
Mpenzi wako bana tunamjua
Hata watu wanaoruka nao kama wote tunawajua
Ila tunakaa kimya kwa sababu hayatuhusu
Haya tueleze unaringia nini?
Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukill marangona
Fanya kama hujaniona
Ka unapigo za kile basi
Mi sina mapepe najua
Pande zangu msilete kujua
Zao news kaa kizembe kamua
Fanya kama hujaniona
Mtu akishajua unampenda umekwisha
Walahi yaani atakupasua hilo bwisha
Na kisha atakuzungusha kama mpiga picha
Na hakuna kitu utafanya zaidi sana utajichatisha
Kinta road utakutana na ma traffic
Sijui ni ile jua tu ndo linafanya maswali hawataki
Manesi nao mtuhurumia bana
Maisha bado hamjampatia sijui mnaringia nini
Nilikuwa najua mastaa wa Bongo wana mtonyo
Ukiposti mapicha makali nawanyooshea mikono
Saa mastaa wenyewe nilivyowakuta wako hoi
Sijui huwanga wanaringia nini
Okay na utakatifu sio wa kujionyesha nahisi
Nenda kamringie tu Ibilisi
Sawa hauli kitu moto ila wako ye dini aikaze
Anaipiga na balini unamkiss
Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukill marangona
Fanya kama hujaniona
Ka unapigo za kile basi
Mi sina mapepe najua
Pande zangu msilete kujuana
Zao news kaa kizembe kamua
Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Fanya kama hujaniona
Tukill marangona
Fanya kama hujaniona
Ka unapigo za kile basi
Mi sina mapepe najua
Pande zangu msilete kujuana
Zao news kaa kizembe kamua
Fanya kama hujanionaaaaaa