Kama Unae ft. Kid Golden Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Kama Unae ft. Kid Golden - Rapcha
...
Kama unae
Kama unae kama unae Kama unae mmoja mposti Kama unae kama unae Kama unae mmoja mposti
Babe tuna-match hawagusi
Staki kuvaa tena nuksi
Kucheat sasa nukta
Tunashare perfume hata nikikucheat harufu inanisuta
Post mpaka wakublock, huh! Safi!
Kama hawana bundle wasaidie WiFi
Wana jealous kuona sipepesi macho
Na we sio mwepesi, me i love nobody but you
you and I tu, sina option
Onesha kama unae mmoja weka caption Watu hata ukijificha watakuchimba Kama unae mmoja utamlinda
Bridge
Honey ukinimiss we ni text
Ama video call coz I’m here for you Washakunaku wakikutest
Nipost kila time waboreke tu
Chorus
Kama unae
Kama unae kama unae Kama unae mmoja mposti Kama unae kama unae Kama unae mmoja
Oooh aaah waoneshe
Vile ulivyo bomba wakomeshe
Oooh aaah waoneshe
Vile ulivyo bomba wakomeshe
Love, kwanza hawatuvishi unajua
Na wala hatuli kwao wanajitia kutujua
Mi sina story zao ila za kwetu wanajua
Si wanaweza na wao yanini kutusumbua!?
Sasa tutaenda beach mida ya sunset Waalike marafiki kwenye engagement Na kila tukio picha zitahusu Tumwogope nani umri unaruhusu
I’m so proud of you, let them know that Look how you are beautiful, oh my God! Nahisi ndio naanza ku-date for the first time Siko late, and I’m very glad that you’re mine
Bridge
Honey, wadada wengi wananicheck Nawaambia hapana mi wako tu Kabisa nimeweka break
Gari imezimika kwako tu
Kama unae
Kama unae kama unae Kama unae mmoja mposti Kama unae kama unae Kama unae mmoja
Oooh aaah waoneshe
Vile ulivyo bomba wakomeshe
Oooh aaah waoneshe
Vile ulivyo bomba wakomeshe