Bado ft. Baraka The Prince Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Bado ft. Baraka The Prince - Rapcha
...
Sijui nakosea wapi, show me how to love
Labda Nina upendo mwingi pesa chache, that’s all i have
Hata Nikikupa zawadi ndogo fanya kuithamini
Coz you give what you love to the one you love
Haiba yako ilinionesha tokea mwanzo hujatulia
Ila moyo wangu ukakung’ang’ania
Kwakuwa naudekeza nkauachia
ukakupenda kinoma, moyo koma, na we ujifunzage kusikia
umenionesha vituko
Najitahidi sana nsichepuke kumbe kwako mi ndo mchepuko
Unakuta kuna mwana madem wanamtema bila reason
Huku mwingine anaenjoy playing girls in the same circle
Waga tu unashtuka uko deep
Usifall inlove bora ufall asleep
Matonya alimlilia Anita nlikua mdogo sikumwelewa dah
ukishampenda hata ukimcheat hauskii raha
Na kukuacha Kisa unanicheat
sawa na kuikimbia mvua maana kila mtu anaweza cheat
Ntakuvumilia maana we ndo unanifit
Chagua unipende ama unizike six feet
Chorus
Nilivyotegemea malengo yangu
Kumbe haikuwa hivyo
Niliona number one nafasi yangu
Kumbe ilikua zero
Oh baby
Japo bado nakupenda
Ila mie sina nitachokitenda zaidi ya upendo juu yako
Verse 2
Kuna cousin yako mmoja handsome boy
unapenda kumpost sana kila Siku
Juzi ulienda kumcheki kwao na alikua peke yake mkashinda na mkalala wote mpaka usiku
(No baby usiku!?)
Ukanambia huyu cousin yangu hanifanyi kitu
Acha wivu Mi nalala huku
Na ushatoka nae mara kibao
Text unachelewa kujibu unasingizia shida mtandao
Sihitaji unipe Password
Ila nambie tu kwanini tukiwa wote simu unaiweka flight mode
Una Bodaboda wako unamuamini
Huwa ananiangalia kwa huruma ka ana kitu moyoni
Na kuna bwana wa best yako alikuleta na gari
Kwenye simu umemsave Shem darling
Baby I’m so fuckin pissed right now
Tyrna get you out of ma head na nikusahau
Nazoea mateso ila daily unanichenjia mapigo
Umeuharibu moyo umeiachia pombe inimalize figo
Nguo zako ulizoziacha home zinanitesa
Ndani umeacha marashi yako kwenye kila ulichogusa
Sijafuta picha wala namba kwenye phone
Baby ukihisi kunihitaji please get back home
Chorus
Nilivyotegemea malengo yangu
Kumbe haikuwa hivyo
Niliona number one nafasi yangu
Kumbe ilikua zero
Oh baby
Japo bado nakupenda
Ila mie sina nitachokitenda zaidi ya upendo juu yako