Mvinyo Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2022
Lyrics
Mvinyo - Rapcha
...
Mwendo kilometer zaidi ya buku kudadeki
Kuzitafuta tu izi cent
So unapotuona apa town tunaflex man u gotta respect that
Na Juu hukai bila pain no no way
Ushkaji kwenye bei no way
Upuuzi staki entertain just go away
I pour wine kwenye glass then
Chorus
I sip mi nagonga mvinyo
No stress mi nagonga mvinyo
Minding my biz’
Tafta kila shimo
Get the bag, Drip hard af gonga mvinyo
I sip mi nagonga mvinyo
No stress mi nagonga mvinyo
Minding my biz’
Tafta kila shimo
Get the bag, Drip hard af gonga mvinyo
Verse 1
Mwendo wa kilometer zaidi ya buku
Kisanga nkiwa na buku
Na getto limenifunza kuwa ku-quit marufuku
So nikakimbiza mkuku mkuku
Sir God akaeka nguvu
Halafu sina namba ya mganga kwenye simu nina wachuchu
Way too blessed
Ilibidi nisepe home mapema ntafte cash
Getto kijeshi
Tuna dream kubwa na kufika sio vyepesi
Ila sio kesi
Hatukuwa na hela ila kichwani tuko fresh
Mwendo kijeshi
And we never gonna stop mpaka death
Mpaka death
Kuleteana Ubishi kila siku
Hustle zimefanya mpaka wanangu wengi wapigwe pingu
Tunashukuru tuko hai still tuna uchungu
hope my dady anaenjoy divai ndani ya mbingu
Chorus
I sip mi nagonga mvinyo
No stress mi nagonga mvinyo
Minding my biz’
Tafta kila shimo
Get the bag, Drip hard af gonga mvinyo
I sip mi nagonga mvinyo
No stress mi nagonga mvinyo
Minding my biz’
Tafta kila shimo
Get the bag, Drip hard af gonga mvinyo
No sleep
Nakisanua Tz, wananijua Tz
No sleep
Nakisanua Tz, Wananijua Tz
Mvivyo mvinyo
Mvinyo mvinyo
Mvinyo mvinyo mvinyo mvinyo mvinyo mvinyo