Mungu Na Masela Lyrics
- Genre:Hip Hop & Rap
- Year of Release:2021
Lyrics
Mungu Na Masela - Rapcha
...
(Intro)
Last King of 90's baby
Alloneim 'pon a track
Oyaaa....Oyaayaayaayaa....
(Bridge) ×2
Maskani tukipita utanionaa,Roho zao zinachoma...
Hatawataki nidake salio namba,Wametyt kila kona....
(Verse 1)
Maselaa chapchap usikae tu kibwege,
Kistone kusizi na mbege,bongo ka kuna ubwege
Kinachotutesa ni umaskini,chuki na Nyeg*3
Text moko DM kisha kamvutia waya nkaibuka Dar na mziki unauskia now,
Fame ndo imefanya saa hii mi nang'oa pisi kali ka mtoto wa Khadija Kopa now
She be like bby,kama utakua ready,tweke wazi mahusiano yetu kila page,Rick Media Millard Ayo wat'weke main page,its official and we on to the next page...
(Chorus)
Oya eeeh eeeh eeh Eaaa Eaaa Eaaa
Mungu na Masela,Mungu na Masela
Eaaa Eaaa Eaaa
Mungu na Masela,Mungu na Masela
Eaaa Eaaa Eaaa
Mungu na Masela,Mungu na Masela
(Bridge) ×2
Maskani tukipita utanionaa,Roho zao zinachoma...
Hatawataki nidake salio namba,Wametyt kila kona....