
Nimekuchagua Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Nimekuchagua - Lava Lava
...
Baby oh
Mwenzako nina Habari
Uje nikung’ate sikio
Sina ujanja oh
Me kwako mdo burihali
NImeshaweka kituo
Nimenunua kufuli na mlango nishafunga
Nakukabidhi funguo
Tena iweke pazuri na misumari gonga
Zungusha pia uzio
Sitaki wa vichocholoni
Zipu nshafunga kwako wee
Iweje nkuweke leo rehani
Na tetenasi nkuletee
Sitak wa vichocholon baby
Zipu nshafunga kwako wewe
Iweje nkuweke leo rehan oh baby
Na tetenasi nkuletee
Iyaya(aaaah)
Honey oh honey (aaaah)
Nmekuchagua oh honey
Honey oh honey
Nmekuchag oh honey