Pakua ft. Rayvanny Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2021
Lyrics
Pakua ft. Rayvanny - Mbosso
...
s2kizz baby
ana kiuno laini cha kucheza baikoko (koko)
nikikaona natamani tu nichape doko (doko) halua
tena tatu kwa mbili hapana so kimoko (moko)
chenga kwa mwili kagere John boko (boko)
eeh halua
oooh kanavo isheke isheketua (sheketu) ag
Kama hana pingili anavo icheketua (cheketu)
asa ilete ilete (iweke)
ooh lete (iweke)
ilete mpaka chini (iweke)
unaogopa nini (iweke)
ooh baby ilete ilete (iweke)
oooh lete (iweke)
mpaka juu dalini (iweke)
kusi na kaskazini
pakua!! ooh paku
pakua pakua uno la pochopocho
asa pakua enhee ee
pakua pakua ka kisamvu cha kopo
oya paku oya paku ipakatue
pakua pakua
pakua pakua pakua
vanny boy
asa ile iletete, mtoto punguza mapepepe
acha kite kitetete, nivunjevunje niwe kiwetete ahee
oooh kipotabo katoto kamepungua, sepetu
kipele kikiwasha sikuni nakakwarua, keketu
mtoto kashika fimbo ya babu
namshikisha adabu
wasotupenda twawapa tabu
tunawaimbia taarabu aaoo
hawana hawana la kusema hawana
hawana hawana la kusema hawana
adidididididididididi