Shida Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Shida - Mbosso
...
wasafi record Nast data
natoka zangu kwetu kibiti naisaka dare salam
naenda tafuta Riziki niwatunze baba na mama
ziki ungana aba na aba ndo kilo ina tosha
Chunga miguku varaba bwana zisizo kutosha
anae sema Riziki mafungu saba ana kupotosha
riziki mafungu mawili kupata au kukosa
alio ya sema baba eshima ya nyumba sidirisha
dunia ni saa mbovu mwanangu usije ifatisha
vingine vina kaba lazime unywe maji kupitisha
umia upate kovu baba maumivu yata kwishaa
ata mate kinywani ya uchungu naya meza kwa tabu jamani
mahisha yangu mazinga ombwe yama ajabu sana
ohhhh mama ohh ehh mama eh.h
Oh oh shida oh oh shida oh oh shida
Shida zita kwisha lini
oh ohh shida oh oh shida oh oh shida
Shida zita kwisha lini
..........instrumental ....vers 2
Najipa matumahini nitafute nisi choke eh
moyoni niki amini kua mungu niwetu soote
ila mbona kwangu sasambu sasambu
sipati usiku simchana ama kitabu cha Riziki
yangu tayari kime chanwa ehhh ehhh
ma mama chama ba mungela yani mimi ndo na tegemewa
nakaza na shinda kombo lela niki piga
nabutua ewa
ata mate kinywani ya uchungu naya meza kwa tabu jamani
mahisha yangu mazinga ombwe yama ajabu sana
ohhhh mama ohh o ehh mama eh.h ooooh
Oh oh shida oh oh shida oh oh shida
Shida zita kwisha lini Ma Mamama eh.
oh ohh shida oh oh shida oh oh shida
Shida zita kwisha lini
..... song by mbosso .. shida
...... lyrics by G.BoyOg3
Wasafi....