![Maajab](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/e268d79b7fd34e5d9d3c045c91d607c7.jpg)
Maajab Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2019
Lyrics
Maajab - Mbosso
...
Nana na Nananana na
Nananana na nananana
Moko mokoo
Imara kashikilia mwache avimbe bichwa
Walahi kanipatia anastahili sifa
Chumba kizima cha nukia
Uturi kajifivisha
Vidole nasimamia ukingoo ninafikishwa
Ananikosha mwili kwa maji ya madafu
Ye ndo kocha ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la njiri kwa mafuta ya karafu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu
Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
Kifuani hunipaka harua
Mikono tende anazichambua anilambaa
Kitandani humwaga maua
Mengine hata chembe sikuwa najua
Kanitoa ushambaa
Oouu! Nanitake nini kwake
Niombee nsipewe
Iwe pemba ama chakechake
Nchangwe mwenyewe
Kanipa pombe roho yake
Ninywe niliwee
Mambo shega ni mwakemwake
Mangapi ya msewee
Libaniike penzi kama gazeti walisome
Tuwa adabishe sangara shombo vibweti tuwangoe
Nikila nilishe chapati za alizeti ninone
Tuwafungishe midomo uzi cement tuwashone
Chorus
Aiyo laizer
Waasafi
Haluwa Haluwa, hunipa vitamu lainilaini
Haluwa Haluwa, kinyama cha hamu uhondo utosoni
Haluwa Haluwa, siili kwa kijiko nalishwa kwa ulimi
Haluwa Haluwa, napewa hadi vya miiko sa nitake nini