![Alele](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/04d225cd9a864346a62f4a4d02fb995a.jpg)
Alele Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Alele - Mbosso
...
mmh...
ooh oh ooohoo
mnhh!
nyama zetu za ulimi, zikikutana asali
bonyea chini chegama kama tayari
leo tule nini, mihogo ya coco kwa kachumbali,
si unajuaga mimi kitandani huwa hodari
kama umeniroga
``aaeee eeh eh``
mganga wako fundi mamaa
ameniweza....
(nilichomeza sijatema)
Chumvi kwa kikogwa
wali maini ndizi nyamaa umenilegeza (ukinigusa tu natetema)
nkishuka kifuani beybe naomba nipate supu ya nyama laini kama mapupu
yale ya gizani beybe nje tusiyaruhusu
kwa majirani wambea wakina lufufu.
mmh anhahaa..ale lelelee
inzi wangu kidonda ning`ong`ozoe
ale lelee
mmmh- anhaa nmh..ale lelee
moyo wangu udongo umong`onyoe
Asubuhi niamshe kabla ya kwenda kazini joging
kijasho kitoke ukihisi nachoka piga filimbi
ooh unikamate kama nayumba shika ngingingi
wachefukwe mate maembe mabichi wape mbilimbi
utamu wangu mimi waujua wewee
penzi tubane na pini iwe siri yetu wenyewe
muhindi wa kusini mwenye mapenzi tele
kibiti hakuna madini tukawinde tetere
nkishuka kifuani beybe naomba nipate supu ya nyama laini kama mapupu
yale gizani beybe nje tusiyaruhusu
kwa majirani wambea wakina lufufu.
mmh anhahaa..ale lelelee
inzi wangu kidonda ning`ong`ozoe
ale lelee
mmmh- anhaa nmh..ale lelee
moyo wangu udongo umong`onyoe
ale-lelelee
Kesho twende Mbagala kwa mama ee
(aaee-aee )
sio mbali twende hata baadae
(aaee-aee )
beyb tafadhari fanya ujiandae
(aaee-aee )
vaa baibui kimini usivae
(aaee-aee )
wajue nyumbani
(aaee-aee )
na wakujue nyumbani beybee
(aaee-aee )
(aaee-aee)