![Kizunguzungu](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/19/0dd8c2a0dc1c433fbd2100afbdce3e04.jpg)
Kizunguzungu Lyrics
- Genre:Bongo Flava
- Year of Release:2018
Lyrics
Kizunguzungu - Lava Lava
...
LAVA LAVA:KIZUNGUZUGU
VERSE 1...
mmmmmmmmh. mmh kwenye simu zimebaki picha na message zako huwa napita pita kwenye peji zako nasomaga sikufichi bado Nina namba yako mwenzako namissi vi emoji vya kopa kopa na vya kufumba macho
huwa nakuona tu walai unachat huishiwi bundle niteeext tu niwe fine usiniondoke fikira mgando
kwenye magroup ya whats app we ndo bingwa wa storiii tena kwa kujibu uko shapu si wa nyuma nyuma torori (eeh) na ushapewa word meanings eti mipamboo (aaaaah) kisiki hapati mjini mshika michangoooo (aaaaah) hivi haunitaki kwa nini au sina jaaambooo namba yako kwa simu yangu imebaki pambo nifikirie maaana(ooooooh) mwenzako hayaniishi mawaaazo (ooooooh) najiuliza hivi nini chanzooo(ooooooh) mwenzako hayaniishi mawaaazo (ooooooh) najiuliza hivi nini chanzo
CHORUS...
maana kizunguzungu kizunguzungu kizunguzungu kizunguzungu yani kizunguzungu kizunguzungu naona kizunguzungu kizunguzungu
VERSE 2...
mmmmmh sijui nimwamini nani kwenye safari ya penzi langu nimkabidhi usukani akawe dereva waaangu (heeeh) maana majanga nalilia kisicho changu kwenye nyumba nilopanga nadai kodi wenzangu bakanja bakanja anavyoichezesha moyo wangu akikohoa anabanja maradhi yake ndo yaaangu
anapenda navyo tabika nakusikitika yee ananimwaga tu machozi kububujika mi nadhalilika ananiona fyatu (oooooooh)
mwenzako hayaniishi mawazo (hayaniiiiishi mawazo ooooooh) najiuliza(najiuliiizaaaaaa) hivi nini chaaanzo(ooooh oooooh) mwenzako hayaniishi mawazo(ooooh) najiuliza hivi nini chaanzooo
CHORUS...
maana kizunguzungu kizunguzungu kizunguzungu naona kizunguzungu yani kizunguzungu kizunguzungu naona kizunguzuuuungu