Sikia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Yeah, aahh
Hii ni dua ya moyo wangu Bwana
Ya kwamba nikae nawe siku zote
Niutafakari uzuri wako Bwana
Napenda kukaa uweponi mwako kwasababu kuna furaha na amani
Natamani nikae nawe
Siku zote uwe nami Bwana
Natamani nikae nawe
Siku zote uwe nami Bwana
Moyo wangu watamani kuimba sifa zako
Nina kiu na shauku ya kukujua wewe
Moyo wangu watamani kuimba sifa zako
Nina kiu na shauku ya kukujua wewe
Sikiliza roho yangu, naja mbele zako ooohh
Ninapaza sauti yangu, kukuoa sifa za moyo wangu
Sikiliza roho yangu, naja mbele zako ooohh
Ninapaza sauti yangu, kukuoa sifa za moyo wangu
Natamani nikae nawe
Siku zote uwe nami Bwana
Natamani nikae nawe
Siku zote uwe nami Bwana
Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana
Bwana Bwana Bwana Bwana Bwana
Sikia sifa zangu, kutoka kwenye vilindi vya moyo wangu
Pokea maombi yangu uuuh
Jibu sawa na mapenzi yako
Sikia sifa zangu, kutoka kwenye vilindi vya moyo wangu
Pokea maombi yangu uuuh
Jibu sawa na mapenzi yako
Everybody say Jesus (Jesus)
Say Jesus (Jesus)
Say Je Je Jesus (Je Je Jesus)
Say Je Je Jesus
Sema Yesu (Yesu)
Sema Yesu (Yesu)
Sema Ye Ye Yesu (Ye Ye Yesu)