![Najivunia](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/07/d35fc6db5b4449de8e64ac98c2dfbfe3H3000W3000_464_464.jpg)
Najivunia Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Najivunia kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Najivunia kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Najivunia kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Najivunia kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Nilikuwa sifai (Ukaniheshimisha)
Kwa damu yako ya msalabani ukaniokoa
Nami BWANA nina uzima wa milele
Nami napenda imba sifa zako
Nilikuwa sifai (Ukaniheshimisha)
Kwa damu yako ya msalabani ukaniokoa
Nami BWANA nina uzima wa milele
Nami napenda imba sifa zako
Najivunia kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Najivunia kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Najivunia kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Najivunia kuwa na wewe
Kuwa na wewe
Wewe ni alfa tena omega
Enzi na vyote vijazavyo
Unatawala, wewe hosanna
Kwa pendo lako najivunia
Wewe ni alfa tena omega
Enzi na vyote vijazavyo
Unatawala, wewe hosanna
Kwa pendo lako najivunia
Wewe ni alfa tena omega
Enzi na vyote vijazavyo
Unatawala, wewe hosanna
Kwa pendo lako najivunia
Wewe ni alfa tena omega
Enzi na vyote vijazavyo
Unatawala, wewe hosanna
Kwa pendo lako najivunia
Kuwa na wewe, kuwa na wewe