
Mwema Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Baba yangu Mungu wangu
Wewe ni mwema, katika wewe daima napata ushindi, Haulinganishwi haufananishwi
Wewe ndiwe mwema
Baba yangu Mungu wangu
Wewe ni mwema, katika wewe daima napata ushindi, Haulinganishwi haufananishwi
Wewe ndiwe mwema
Wewe ndiwe mwema
Wewe ndiwe mwema
Wewe ndiwe mwema
Wewe ndiwe mwema
Uweza wako, mamlaka na nguvu
Ukuu wako Bwana
Wastahili utukufu na sifa
Vina wewe Bwana
Uweza wako, mamlaka na nguvu
Ukuu wako Bwana
Wastahili utukufu na sifa
Vina wewe Bwana
Uweza wako, mamlaka na nguvu
Ukuu wako Bwana
Wastahili utukufu na sifa
Vina wewe Bwana
Uweza wako, mamlaka na nguvu
Ukuu wako Bwana
Wastahili utukufu na sifa
Vina wewe Bwana
Uweza wako, mamlaka na nguvu
Ukuu wako Bwana
Wastahili utukufu na sifa
Vina wewe Bwana
Uweza wako, mamlaka na nguvu
Ukuu wako Bwana
Wastahili utukufu na sifa
Vina wewe Bwana
Wewe ndiwe mwema, Wewe ndiwe mwema
Wewe ndiwe mwema, Wewe ndiwe mwema
Wewe ndiwe mwema, Wewe ndiwe mwema
Baba yangu Mungu wangu
Wewe ni mwema