
Vizazi Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Sifa zako Bwana ni za milele
Ukuu wako Bwana ni wa milele
Vizazi (Bwana) na Vizazi
Ooh Ooh watamalaki
Sifa zako Bwana ni za milele
Ukuu wako Bwana ni wa milele
Vizazi (Bwana) na Vizazi
Ooh Ooh watamalaki
Sifa zako zikaenea
Katikati ya mataifa
Kwa sababu ya uzuri wako
Umetamalaki
Sifa zako zikaenea
Katikati ya mataifa
Kwa sababu ya uzuri wako
Umetamalaki
Wewe ni Mungu mwaminifu
Enzi na Enzi unatawala
Vizazi na Vizazi hakuna kama wewe hee
Umetamalaki
Wewe ni Mungu mwaminifu
Enzi na Enzi unatawala
Vizazi na Vizazi hakuna kama wewe hee
Umetamalaki
Unatawala (Unatawala)
Unatawala (unatawala)
Vizazi (Bwana) na Vizazi
Ooh oooh watamalaki
Unatawala (Unatawala)
Unatawala (unatawala)
Vizazi (Bwana) na Vizazi
Ooh oooh watamalaki
Enzi ni Yako (Enzi ni Yako)
Enzi ni Yako (Enzi ni Yako)
Vizazi (Bwana) na vizazi
Ooh Ohh watamalaki
Enzi ni Yako (Enzi ni Yako)
Enzi ni Yako (Enzi ni Yako)
Vizazi (Bwana) na vizazi
Ooh Ohh watamalaki
Uweza na nguvu vina wewe
Bwana
Ooo ooo ooo ooo oooh Bwana