Amka Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2021
Lyrics
Amka ndugu usirudi nyuma
Bwana anakuita
Haijalishi yale unayopitia (Ni kama) hayaoni
Amka ndugu usirudi nyuma
Bwana anakuita
Haijalishi yale unayopitia (Ni kama) hayaoni
Yeye ndiye amani
Amani ya kweli asili ya mema
Muiteni maadamu apatikana
Yeye ndiye amani
Amani ya kweli asili ya mema
Muiteni maadamu apatikana
Ooohhh
Hakuna jambo linaloshindikana kwake
Hajawahi shindwa ye ni Mungu wa uweza
Mpe yote ukimwomba kwa bidii
Atajibu sawa na mapenzi yake
Hakuna jambo linaloshindikana kwake
Hajawahi shindwa ye ni Mungu wa uweza
Mpe yote ukimwomba kwa bidii
Atajibu sawa na mapenzi yake
Yeye ni Mungu wa uweza Mungu wa wote wenye mwili
Tena mume, baba wa wajane na yatima
Mpe yote ukimwomba kwa bidii, hajawahi lala ukimwomba asikia
Yeye ni Mungu wa uweza, Mungu wa wote wenye mwili
Tena mume, baba wa wajane na yatima
Mpe yote ukimwomba kwa bidii, hajawahi lala ukimwomba asikia
Yeye ndiye amani
Amani ya kweli asili ya mema
Muiteni maadamu apatikana
Yeye ndiye amani
Amani ya kweli asili ya mema
Muiteni maadamu apatikana
Ooohhh
Hakuna jambo linaloshindikana kwake
Hajawahi shindwa, ye ni Mungu wa uweza
Mpe yote ukimwomba kwa bidii
Atajibu sawa na mapenzi yake
Hakuna jambo linaloshindikana kwake
Hajawahi shindwa, ye ni Mungu wa uweza
Mpe yote ukimwomba kwa bidii
Atajibu sawa na mapenzi yake
Atajibu sawa na mapenzi yake
Atajibu sawa na mapenzi yake
Atajibu sawa na mapenzi yake
Atajibu sawa na mapenzi yake
Hosanna Hosanna Hosanna
Ye ni Mungu wa uweza