![BABA MUNGU](https://source.boomplaymusic.com/group10/M00/08/07/a4c762dda4ab4c2ea47a0735ae43b402H3000W3000_464_464.jpg)
BABA MUNGU Lyrics
- Genre:Gospel
- Year of Release:2024
Lyrics
BABA MUNGU - The Heavenly Melodies
...
Baba Mungu wa majeshi jina lako limeinuliwa ×4
Ooh vigelegele kwa Yesu
come on
wote tunacheza kwa bwana namna hiyo
iyelele eeh aaaa
vigelegele kwa Yesu
ooh baba Mungu wa maa
Baba Mungu wa majeshi jina lako limeinuliwaa ×3
nuru yangu na wokovu wangi baba , nimuogope naani
hakuna wa kumwogopaa
moyo wangu hautaogopa ,kwa kuwa uko na mimi nakutegemea baba eeh yeyeeye
jeshi lijapojipanga kupigana na mimi sitaogopaa oo baba × 2
kwa maana ninajuaa
Kwa maana uweza na nguvu ,kwa maana uweza ni wakoo × 5
umeinuliwa juu ya vyoote , ya vyotee nani kama wewee ×4
vigele gele kwa Yesuu
one , two ,three agaaa
yeye yuko juu ya vyotee ahaa
ume umeinuliwaa
umeinuliwa juu ya vyotee ya vyotee nani kama wewe ×2
nani kama wewe
kama weweee , kama weee , kama weweeee eeee
kama weweee , kama wewee ooooooh nani kama wewe
mpe Bwana shangwe yeye ameinuliwa juu ya vyotee ,come oon ...........
by being..debbie(debora mbasha)