Salio Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2021
Lyrics
Salio - Ibrah Nation
...
sina salio baby mama
ningekupigia tuonane
kwa hiyo likizama
naomba tukutane palepale
sina salio baby mama
ningekupigia tuonane
kwa hiyo likizama
naomba tukutane palepale
baby baby leo nimekwama kiukweli
message massage ohh unazonitumia sizipendi
hizi mbio zote humu ninazokimbia girl
(it’s just for you)
sielewi vitu gani unavifikiriaga inside of you
mawazo yako niko full dollar
nawapigia tu wachumba
kumbe fuko limedorora
mi nasaga tu na rumba
kati ya wote baby ( we ndo bora)
ona roho inadunda
kwangu wewe ni sumaku (mimi ndiye chuma ahh)
sina salio baby mama
ningekupigia tuonane
kwa hiyo likizama
naomba tukutane palepale
sina salio baby mama
ningekupigia tuonane
kwa hiyo likizama
naomba tukutane palepale
baby
na nana nana nana ah
tukutane tuyajenge
tusiachane kizembe
n’taku-miss call wacha mida iende
jioni funny njoo tutete
wacha hao vijino pembe
fanya yako kichenge
sikubali mi kukuacha mpweke
wacha nije n’kukeke
mbio zote humu ninazokimbia girl
(it’s just for you)
sielewi vitu gani unavifikiriaga inside of you
mawazo yako niko full dollar
nawapigia tu wachumba
kumbe fuko limedorora
mi nasaga tu na rumba
kati ya wote baby ( we ndo bora)
ona roho inadunda
kwangu wewe ni sumaku (mimi ndiye chuma ahh)
sina salio baby mama
ningekupigia tuonane
kwa hiyo likizama
naomba tukutane palepale
sina salio baby mama
ningekupigia tuonane
kwa hiyo likizama
naomba tukutane palepale (baby)
sina salio baby mama
ningekupigia tuonane
kwa hiyo likizama
naomba tukutane palepale
Lyrics by Steven Godfrey