Where Is Love? Lyrics
- Genre:Afrobeat
- Year of Release:2023
Lyrics
Where is Love - Ibrah Nation
...
Where is Love
Uuh ooh
Unakusanya virago
Unataka kwenda zako
Utanipa mimi tabu
Wewe ndo furaha yangu ooh
Nitavimiss vitamu
Makiss ya mashavu
Mana sipati jawabu
Nitaishi vipi bila wewe
Ooh husiondoke
Mi darling husinichoke
Mi tayari nishafall in love
My darling ooh no no no
Ooh husiondoke
Mi darling husinichoke
Mi tayari nishafall in love
Nauliza where is love
Where is love ulonipa before
Nauliza where is love
Where is love ulonipa before
Nauliza where is lovee
Ooh yeeh!
Kwani ulichokosa kipi ukawafata marafiki
Mpka nimenyang'anywa kiti
Mbona bado niko fit no no
Sijawah kukuchiti wala kukutemea shit
Umetekwa ndani ya sit unaniona mi sifit
Ooh husiondoke
Mi darling husinichoke
Mi tayari nishafall in love
My darling ooh no no no
Ooh husiondoke
Mi darling husinichoke
Mi tayari nishafall in love
Nauliza where is love
Where is love ulonipa before
Nauliza where is love
Where is love ulonipa before