Loading...

Download
  • Genre:Afrobeats
  • Year of Release:2016

Lyrics

Nilipize - Ibrah Nation

...


Verse;1

hivi kweli unakumbuka hata kujuta Kwa ulio nifanyia.

Moyoni uliguswa au ulipuuza na hutaki nisikia.

Hata kutuma ujumbe mfupi tuu My Darling.

unikose wewe niombe msamaha mimi.

BRIDGE:

Nashindwa hata kusema yani Moyo unaniuma.

Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena.

wewe ndo My everything Sitaki geuka nyuma.

Nataka kuwa nawe mamyto,nataka kuwa nawe.

CHORUS:

Ningesema nilipize ooooh

mabaya yako nikuumize na we umie.

ninachohisi ni kupenda kwenye moyo Wangu.

Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako.

Ninachojua nakupenda kwenye moyo Wangu mamaaa

Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako.

aaaaah uuuuuuuh yeah......

Verse:2

Ungenifikilia hata mara moja japo hauna hisia na me

nidanganye hata na ngoja ngoja nitasubirii

Ulikubali Kwa moyo mmoja kuyajenga maisha na me

nieleze ni wapi nilipoteleza nisiumie.

BRIDGE::

Nashindwa hata kusema yani Moyo unaniuma,

Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena

Wewe ndo My everything Sitaki geuka nyuma

Nataka kuwa nawe mamyto, Nataka kuwa nawe

CHORUS:

Ningesema nilipize ooooh

Mabaya yako nikuumize na we uumie

ninachohisi ni kupenda kwenye moyo Wangu

Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako

ninachojua nakupenda kwenye moyo Wangu Mamaaa

Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako.

Aaaaah uuuuuuuh yeah

.

.

kama ningelipa unayotenda ungeshaumia,

Sitamani maumivu ninayopata yaje kwako pia,

Namuachia mola anilipie, anioneshe fungu langu miee

uuuuuuuh aaaaaaaah.

Ninachohisi nakupenda kwenye moyo Wangu

Sina hakika na kupendwa kwenye moyo Wako

Ninachojua nakupenda kwenye moyo Wangu

aaaaaaaah uuuuuuuh

Moyo Wangu...

Moyo wako............

Similar Songs

+

      -   or   -

      -   or   -

      NG +234
          -You can log in via below methods-
          Reset password via e-mail
          -or-
          Reset password via e-mail
          Feedback on resetting password
          * It may take a longer time

          Please Select A Playlist

          Add New Playlist

          Share on

          Embed: Love & Light EP

          Custom Size :

          • Default
          • Desktop(300*600)
          • Mobile(300*250)

          Type :

          • HTML/HTML5 (WordPress Supported)
          Get Boomplay Premium
          for
          Payment Method
          Pay With
            Review and pay
            Order Date
            Payment Method
            Due Today
            Flutterwave
              Subscription Successful

              Congratulations! You have successfully activated Boomplay 1 Month Premium.

              Now you have access to all the features of Boomplay App.
              Payment Failed

              Please check your balance and then try again.

              You'll lose your subscription if we don't have a working payment method for your account, so please check your payment details.
              Need help? Contact Boomplay Subscription Support.
              Payment Processing...
              10 s

              Payment is being processed by . Please wait while the order is being comfirmed.

              Payment Processing
              Your order is processing, and it may take up to a few days for the service provider to handle your payment. Please kindly stay tuned and check your order status in ‘User Center’.
              About Order Status