Unitoke Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2019
Lyrics
Unitoke - Ibrah Nation
...
Iamshwaib
***
Kumbato na busu ndi vyakunidanganyia
Nami niamini napendwa kwenye hii dunia
Me nikigeuza shingo unanifikiria
Mbona nikipiga simu hutaki kupokeaga
Sina vya maana, sijakuzaa
Una maamuzi yako kumpenda anayekufaa
Ningejaliwa mali ngekupaa
Usiwaze mwingine tena
Unipende tu mi dada
Nimekolezana nimekolea
Nikajua moyo hujatulia, kwenye jamvi
Sikuja kwako me nije kulia
Niliona furaha dear, Nikaweka kambi, Eee
Nitafanya ninachiweza,
Ili unitokee kwenye akili yangu na moyo wangu unitokee
Kama muda nmeshapoteza,
Ili unitokee kwenye akili yangu na moyo wangu unitokee
(Unitokeeeeee, Ayaiyaaaa)
Siwezi kujidanganya, Najua wanichanganyaa
Wenzangu wamenizidi utunduu
Huwa nakuona mara nyingi ukiongea nayeye,
Natamani nianzishe mavurugu