Tabibu Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2018
Lyrics
Tabibu - Ibrah Nation
...
Tatizo ni nini mama,mbona hatuelewani
Umerudi usiku saana,na umeletwa na nani swali ni rahisi saana, unazunguka tu
Ukishindwa unatukana na kununa juu Natamani turudi enzi
Ulizoniitaga my darling usiku unaniita tulale nikukumbatie Nakumbuka yale mapenzi Yalionifanya nisiwaze Leo umenizoea unaniona mi fala wee
CHORUS
Naona kama nikuache... Tabibu wangu
Labda nikiondoka ndo utajua... Umuhimu wangu Naona kama nikuachilie...
Tabibu wangu Labda nikiondoka ndo utajua...
Umuhimu wangu
Siumeshajua unapendwa basi ndo nongwa
Visa mikasa haviishi kunizonga
Hata nijikome kwa zawadi najiroga Pesa ntarudishiwa, nguo nitapondwa
Natamani turudi enzi
Ulizoniitaga my darling
Usiku unaniita tulale nikukumbatie Nakumbuka yale mapenzi Yalionifanya nisiwaze
Leo umenizoea unaniona mi fala wee
CHORUS
Naona kama nikuache...
Tabibu wangu
Labda nikiondoka ndo utajua... Umuhimu wangu Naona kama nikuachilie...
Tabibu wangu
Labda nikiondoka ndo utajua... Umuhimu wangu
By show, I love you baby
Nilivyokufa kwako,
Utanipa uchizi
Momy love,
unashindwa kuniface
Unieleze tatizo unanidiscussi Yeaaaah… Momy love