Amen Lyrics
- Genre:Afrobeats
- Year of Release:2020
Lyrics
Amen - Ibrah Nation
...
Verse 1:
Nikama Niko safari
Ninapokwenda ni mbali Bado
Nakutana na majabari
Ila nipo ngangari gado
Namuomba Mola anijalie (Amen)
Wachawi wasinifikie (Amen)
Na cheda nizikamatie
Jamii yangu niirudishie (Amen)
Nasikia kukata tamaa ni dhambi
Dhambi mi siitaki
Nazidi kukazana mi silalali
Ni kazi kazi
Mradi tuu mama amenipa radhi
Radhi ntashindwa wapi
Naamini maisha popote eh eh
Na nitakula chochote eh eh